Serikali za Denmark na Greenland zimeonesha msimamo usiotikisika dhidi ya matamanio ya Rais Donald Trump wa Marekani kutaka kukichukua kisiwa cha Greenland, zikisisitiza kuwa eneo hilo litaendelea kuwa sehemu ya Ufalme wa Denmark na mwanachama wa NATO na Umoja wa Ulaya. Siku ya Jumanne, Januari 13, 2026, Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen, na Waziri […] The post “GREENLAND HAIUZWI”: DENMARK NA GREENLAND ZAUNGANA KUPINGA SHINIKIZO LA RAIS TRUMP. appeared first on Jambo TV Online .