TASAC YATOA RAI KWA WATUMIA VYOMBO VYA MAJINI KUZINGATIA USALAMA.

Na Theophilida Felician, Kagera. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa wito kwa wamiliki wa vyombo vya majini, wasafiri na wavuvi katika Ziwa Victoria kuzingatia kanuni za usalama, huku likionya dhidi ya tabia ya kukagua vyombo vikiwa katikati ya maji safari ikiendelea. Wito huo umetolewa na Mfawidhi wa TASAC mkoa wa Geita, Bw. Godfrey […] The post TASAC YATOA RAI KWA WATUMIA VYOMBO VYA MAJINI KUZINGATIA USALAMA. appeared first on Jambo TV Online .