Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imezitaka halmashauri nchini kuandaa na kusimamia uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa.