Shirikisho la Soka la Gabon limetangaza kufuta hatua zote zilizokuwa zimechukuliwa dhidi ya timu ya taifa pamoja na baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kuondolewa mapema kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025. Katika michuano hiyo inayoendelea nchini Morocco, Gabon ilipoteza mechi zote za Kundi F dhidi ya Cameroon, Msumbiji […] The post Gabon Yaondoa Adhabu Dhidi ya Aubameyang na Timu ya Taifa appeared first on Global Publishers .