Museveni ahitimisha kampeni, ahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura kesho

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amehitimisha kampeni zake katika mkutano uliofanyika Kampala, huku akitoa wito kwa wananchi kujitokeza kupiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho Alhamisi.