Wakati Zanzibar ikiendelea kuboresha miundombinu ya afya kwa kujenga hospitali na vituo vya afya mijini na vijijini, bado vifo vitokanavyo na uzazi ni tatizo linaloendelea kusumbua.