Serikali yataka wanafunzi, watumishi kupewa elimu ulinzi wa data
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo, ametaka kutolewa kwa mafunzo maalumu ya ulinzi wa data kwa watumishi wa Serikali na wanafunzi, hususani wa vyuo.