Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amesema mkoa huo unatarajia kupanda miti Milioni 13 katika Halmashauri zote za mkoa huo ikiwa ni mkakati wa utunzaji wa mazingira. Mkuu huyo wa mkoa ameyasema hayo Leo Januari 14,2026 aliposhiriki zoezi la upandaji miti kupitia Kampeni ya Mti wa Mama maarufu kama 27 ya Kijani inayoendeshwa […] The post MITI MILIONI 13 KUPANDWA MARA ILI KUTUNZA MAZINGIRA appeared first on Jambo TV Online .