Simba wa Teranga watagaragazana leo na The Pharaohs katika semi fainali ya #AFCON2025 kuanzia saa moja. Nani atang'aa? Tutakuletea matangazo haya moja kwa moja. Kila bao, kila kona, kila hikabu, kila kadi, yote ni ndani ya #KituoChaWakenya kwa sababu #KandandaNiSisi.