Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Japan Kuhusu Ushirikiano wa Miradi na Uwekezaji

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yoichi Mikami na kujadiliana naye masuala ya uchumi, miradi ya maendeleo na uwekezaji. Akizungumza na Balozi huyo leo (Jumatano, Januari 14, 2026) ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Waziri Mkuu ameishukuru nchi hiyo kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania kukamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali […] The post Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Japan Kuhusu Ushirikiano wa Miradi na Uwekezaji appeared first on Global Publishers .