Katambi, Ayoub Wapokelewa Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Mhe. Patrobas Katambi amekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo George Simbachawene leo Januari 14, 2026, Ofisi za Wizara, Mtumba jijini Dodoma. Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria halfa hiyo ni pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Ayoub Mohamed Mahmoud, Katibu Mkuu Ally Gugu, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Maduhu […] The post Katambi, Ayoub Wapokelewa Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi appeared first on Global Publishers .