Senegal wafuzu kwa fainali ya michuano ya #AFCON2025 baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Misri.
Bao la kipekee la Simba wa Teranga lilifungwa na mshambulizi wa Al Nassr Sadio Mané katika dakika ya 78.
#TotalEnergiesAFCON2025 #KandandaNiSisi #KituoChaWakenya