Mane aipeleka Semegal fainali Afcon

MOROCCO;-TIMU ya Taifa ya Senegal, imeichapa Misri bao 1-0 na kutinga fainali katika michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Morocco. Bao hilo pekee katika mchezo huo wa nusu fainali limefungwa na Sadio Mane dakika ya 78. The post Mane aipeleka Semegal fainali Afcon first appeared on HabariLeo .