MOROCCO; Morocco imetinga fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2025) baada ya kuitoa Nigeria katika mchezo wa nusu fainali kwa penalti 4-2 mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita. Hatua ya penalti ilikuja baada ya timu hizo kutoka 0-0 dakika 90 za kawaida na hata zilipoongezwa dakika 30 bado hazikufungana. Morocco sasa itacheza … The post Matuta yaipeleka Morocco fainali first appeared on HabariLeo .