Uganda Yasimamisha Mashirika 10 ya Kiraia Siku Moja Kabla ya Uchaguzi

Serikali ya Uganda imeamua kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za mashirika 10 yasiyo ya kiserikali (NGOs), ikieleza kuwa uamuzi huo umetokana na sababu za kiusalama na kisheria. Mashirika yaliyosimamishwa ni pamoja na Jukwaa la Kitaifa la Mashirika ya Kiraia (National NGO Forum), Chapter Four Uganda, Alliance for Election Finance Monitoring (ACFIM), Human Rights Network for […] The post Uganda Yasimamisha Mashirika 10 ya Kiraia Siku Moja Kabla ya Uchaguzi appeared first on Global Publishers .