ICU ni Nini? Ukweli Wote Kuhusu Chumba cha Wagonjwa Mahututi

Watu wengi hawajui mgonjwa wao akipelekwa ICU na kujiuliza kuna nini huko? ICU ni Kitengo Maalum cha Wagonjwa Mahututi. Kinarejelea mahali ambapo matibabu maalum hutolewa kwa wagonjwa ambao afya zao zimetetereka kabisa na wanaohitaji uangalizi na usaidizi maalum wa karibu na madaktari. Inatoa huduma muhimu na msaada wa maisha kwa wagonjwa waliozidiwa kiafya au waliojeruhiwa. […] The post ICU ni Nini? Ukweli Wote Kuhusu Chumba cha Wagonjwa Mahututi appeared first on Global Publishers .