Miaka 7 ya Ndoa: Adekunle Gold na Simi Wazungumza Hali ya Upendo Wao

Wanandoa maarufu wa Nigeria, Adekunle Gold na Simi, wameadhimisha miaka saba ya ndoa yao kwa kuishirikisha dunia hisia zao kupitia mitandao ya kijamii. Kwa jumbe fupi lakini zenye uzito, wote walikumbuka safari yao ya pamoja iliyojaa upendo, uvumilivu na chaguo la kuendelea kumpenda kila siku. Adekunle Gold alieleza kuwa kumoa rafiki yake wa karibu kulibadilisha […] The post Miaka 7 ya Ndoa: Adekunle Gold na Simi Wazungumza Hali ya Upendo Wao appeared first on Global Publishers .