Msanii maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania, @malkiarosemuhando ameibuka hadharani na kutoa malalamiko mazito kuhusu kile alichokitaja kuwa ni kudhulumiwa haki yake ya mapato kutokana na kazi zake za muziki katika majukwaa ya kidijitali. Kupitia taarifa yake, Rose Muhando amesema kwa takribani miaka 15 amekuwa akinyamaza na kuvumilia kwa moyo wote, akiamini kuwa haki […] The post Rose Muhando Afunguka Kuhusu Haki za Mapato ya Muziki Wake – Video appeared first on Global Publishers .