Fahamu Jinsi Umeme wa Mwili Unavyoendesha Maisha Yetu ‘Unaweza Kukuua’

Binadamu wengi huufikiria umeme kama kitu kinachotoka kwenye nyaya, transfoma au radi. Hata hivyo, ukweli usiofahamika na wengi ni kwamba kila binadamu ana umeme ndani ya mwili wake. Umeme huu wa asili kitaalamu ukiitwa bioelectricity ndio unaoendesha uhai wa binadamu. Bila umeme huu, moyo usingepiga, ubongo usingefanya kazi, na misuli isingesogea. Lakini kama ilivyo kwa […] The post Fahamu Jinsi Umeme wa Mwili Unavyoendesha Maisha Yetu ‘Unaweza Kukuua’ appeared first on Global Publishers .