AFCON 2025: Senegal na Morocco Kukutana Fainali ya Moto

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025 imepata fainali yake baada ya Morocco na Senegal kufanikiwa kuvuka hatua ya Nusu Fainali. Morocco walikata tiketi ya Fainali baada ya kuitoa Nigeria kwa mikwaju ya penalti kufuatia sare tasa ya 0-0 ndani ya dakika 90 za kawaida na dakika 30 za nyongeza. Katika hatua ya […] The post AFCON 2025: Senegal na Morocco Kukutana Fainali ya Moto appeared first on Global Publishers .