Wapigakura milioni 21.6 wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa kumchagua rais wa awamu ya saba wa Uganda leo.