WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Rhimo Nyansaho amezindua Bodi Mpya ya Ushauri ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT), Makao Makuu ya JKT Chamwino, jijini Dodoma, itakayoongozwa na Meja Jenerali Mstaafu Michael Isamuhyo, aliyemteua hivi karibuni. Dk Nyansaho amempongeza Mwenyekiti na wajumbe wapya kwa kuteuliwa katika Bodi … The post Waziri wa Ulinzi na JKT azindua bodi mpya ya ushauri SUMAJKT first appeared on HabariLeo .