Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, linamshikilia Agnes Liku (35), mkazi wa Kijiji cha Mwanzomgumu, Kata ya Msimbu Wilaya ya Kisarawe, kwa kutoa taarifa za uongo, kuwa amejifungua mtoto katika zahanati ya kijiji hicho na mtoto kuchukuliwa na ofisa tabibu asiyefahamika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Salim Morcase, amesema mnamo Januari 6, 2026 saa …