WAZIRI KOMBO: TUMESTAHIMILI MTIHANI MZITO WA OKT. 29, DUNIA IKATUELEWA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameeleza kuwa diplomasia ya Tanzania imepita katika mtihani mzito zaidi tangu uhuru kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, lakini sasa nchi imerejea katika mstari baada ya kueleweka kimataifa. Akizungumza leo, Januari 15, 2026, mbele ya Rais Dkt. Samia […] The post WAZIRI KOMBO: TUMESTAHIMILI MTIHANI MZITO WA OKT. 29, DUNIA IKATUELEWA appeared first on Jambo TV Online .