Ulipo Tupo FC bingwa CRDB Super Cup

ARUSHA: Ubora, mshikamano na kiu ya ushindi ndivyo vilivyoibeba timu ya Ulipo Tupo Lake Zone mpaka kutwaa ubingwa wa soka wa CRDB Super Cup msimu wa tano, baada ya kuifunga timu ya CRDB Wakala Central Zone goli 1_0 katika mchezo wa fainali wenye ushindani mkubwa uliochezwa katika uwanja wa Shekh Amri Abeid Jijini Arusha. Kwa … The post Ulipo Tupo FC bingwa CRDB Super Cup first appeared on HabariLeo .