Mikataba mibovu inavyowarudisha nyuma wakulima wa machungwa

Utafiti umebaini kuwa mikataba mibovu ya mauzo ya mazao ndiyo chanzo kikubwa cha wakulima wa machungwa kuuza mazao yao kabla hayajakomaa, hali inayowanyima faida halisi na kuwaacha katika mzunguko wa umaskini wa kudumu.