Serikali imesema itachukua hatua za kisheria dhidi ya mkandarasi Sichuan Road and Bridge Group (SRBG) anayetekeleza ujenzi wa barabara na mifereji ya maji katika Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga, kutokana na kuchelewesha utekelezaji wa kazi kinyume na makubaliano ya mkataba.