Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameelezea kufurahishwa kwake na hatua ya mashirika makubwa ya kimataifa ya Moody’s na Fitch kuendelea kuipa Tanzania alama za daraja la juu la mkopo (B1 na B+), jambo ambalo limesaidia kujenga imani kubwa kwa wawekezaji na kushusha gharama za ukopaji kwa taifa. Mashirika […] The post TANZANIA YAJIVUNIA KUWA NCHI INAYOENDELEA KUKOPESHEKA appeared first on Jambo TV Online .