Hukumu kesi ya aliyetoroka bandarini akituhumiwa kusafirisha bangi, yasogezwa mbele
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesogeza mbele kutoa hukumu katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi inayomkabili, Kulwa Mathias (32) na mwenzake Edina Paul.