DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa oparesheni maalum kwa ajili ya kusaka watoto ambao hawajaripoti shule. Oparesheni hiyo inatarajia kuanza Januari 19, 2026 kwa kushirikisha askari wa sungusungu watakaopita kila nyumba kusaka wanafunzi wa awali, darasa la kwanza na kidato cha kwanza ambao hawajaripo shule. Ngole … The post Diwani Geita atangaza oparesheni watoto wasioripoti shule first appeared on HabariLeo .