‘Gesi asilia kipaumbele Dira 2050’

DODOMA: RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amesema kipaumbele kikuu katika Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kitakuwa utumiaji wa gesi asilia, ambapo jitihada zitalenga ukamilishaji wa mradi wa gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG) wa Dola bilioni 42, ambao utaiweka nchi katika soko la nishati duniani. Dk Samia amefafanua taarifa hiyo leo Januari 15, alipozungumza na makamishna … The post ‘Gesi asilia kipaumbele Dira 2050’ first appeared on HabariLeo .