DODOMA: RAIS Dk Samia Suluh Hassan amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni ukamilishaji wa Reli ya Kisasa (SGR) na Mfereji wa Mafuta wa Ghuba ya Afrika Mashariki, ambao unatarajiwa kukamilika mwezi Julai 2026. Pia Serikali itahakikisha inazingatia na kuongeza thamani, uwezo wa kuuza nje, na uundaji wa ajira kupitia maeneo maalumu ya kiuchumi, ukihusisha miundombinu … The post Samia azungumzia maendeleo SGR, bomba la mafuta first appeared on HabariLeo .