Waziri Mkuu, Dkt.Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amefanya kikao cha kazi na Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, pamoja na Timu ya Wataalam kutoka Wizara hiyo. Kikao hicho ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri […] The post Dkt. Mwigulu Akutana Na Prof. Mkenda Na Timu Ya Wataalam Ya Wizara Ya Elumu appeared first on Global Publishers .