Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni utaongeza wigo wa Kodi na kusimamia usawa katika ulipaji wa kodi. Ameyasema hayo jijini Dar es Salaam Januari 15, 2026 alipokuwa akifungua mafunzo ya IDRAS kwa washauri wa kodi […] The post TRA KUZINDUA MFUMO WA IDRAS: MAPINDUZI MAPYA YA UKUSANYAJI KODI NA UWAZI TANZANIA. appeared first on Jambo TV Online .