Bobi Wine apiga kura, wafuasi wake wamsindikiza kituoni

Mgombea urais wa upinzani kupitia Chama cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amepiga kura eneo la Free Square, Magere katika Wilaya ya Wakiso nchini Uganda.