Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando almaarufu Baba Levo amemzawadia mkewe, mama Ruby gari aina ya Range Rover Velar kama shukrani kwa kuwa naye bega kwa bega kipindi chote cha Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ambapo Baba Levo aliibuka mshindi wa kiti hicho cha ubunge. ? Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, […] The post Baba Levo Amzawadia Mkewe Mama Ruby Range Rover Velar Mpya – Video appeared first on Global Publishers .