RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepata mafanikio makubwa katika kufanikisha ujenzi wa viwanja vya michezo katika kila Wilaya, pamoja na ujenzi wa Viwanja vya Mikoa kwa Unguja na Pemba. The post Dk. Mwinyi Azindua Uwanja wa Gombani first appeared on HabariLeo .