MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha miradi yote ya maendeleo, hususan miradi ya kimkakati, inatekelezwa kwa viwango vinavyokubalika. The post SMZ: Miradi Itekelezwe Kwa Viwango first appeared on HabariLeo .