MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, atazindua rasmi jengo la wageni mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam, Januari 16, 2026. The post Dk. Nchimbi kuzindua jengo jipya JNIA first appeared on HabariLeo .