REA Kuzindua Mradi wa Umeme Mtera

SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera tarehe 16 Januari 2026, ikifuatiwa na kusaini mikataba 30 yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.2 kwa ajili ya kusambaza umeme katika vitongoji 9,009 Tanzania Bara. The post REA Kuzindua Mradi wa Umeme Mtera first appeared on HabariLeo .