NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Elimu, Reuben Kwagilwa ameagiza kuvunjwa mara moja mkataba wa Bogeta Engineering Ltd baada ya kubainika kughushi kipengele cha malipo ya awali katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya elimu kwa Shule ya Sekondari Jenista Mhagama mkoani Ruvuma. The post Aagiza kuvunjwa mkataba na mkandarasi ‘tapeli’ first appeared on HabariLeo .