Wananchi tuyatunze mabasi mapya ya mwendokasi

WAKAZI wa Dar es Salaam wana kila sababu ya kuanza kufurahia huduma za usafi ri, baada ya Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) kubainisha kuwasili kwa mabasi mengine 50 ya mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), maarufu mwendokasi. The post Wananchi tuyatunze mabasi mapya ya mwendokasi first appeared on HabariLeo .