Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) amezindua mafunzo ya mfumo mpya wa kidijitali wa Integrated Domestic Revenue Administration System (IDRAS) kwa wadau wa kodi, yanayofanyika kwa muda wa siku tatu jijini Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kuzindua mafunzo hayo, Kamishna Mwenda amesema mfumo huo utaondoa malalamiko mengi kutoka kwa wadau na walipakodi, […] The post TRA Yazindua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kidijitali wa IDRAS kwa Wadau wa Kodi appeared first on Global Publishers .