Wananchi Msata wapatiwa elimu tiba kutoka RTS

PWANI: ZAIDI ya wananchi 200 wa kijiji cha Kihangaiko kata ya MSATA Wilaya ya BAGAMOYO Mkoa wa Pwani wamepata elimu ya tiba,matibabu na msaada wa vyakula kutoka kwa Shule ya Mafunzo ya Awali ya kijeshi (RTS) ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa lengo la kuimarisha mahusiano kati ya jeshi na wananchi. … The post Wananchi Msata wapatiwa elimu tiba kutoka RTS first appeared on HabariLeo .