Serikali inathamini ustawi wa watoto nchini hususan wanaoishi katika mazingira magumu. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana,Kazi, Ajira na Mahusiano Rahma Kisuo katika hafla ya ugawaji wa bima za afya kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ikiwa ni sehemu utekelezaji wa mpango wa kurejesha rasilimali kwa jamii (CSR), Januari 15, …