Uandaaji Utekelezaji wa Miongozo ya Ufuatiliaji na Tathmini Serikalini Kuongeza kasi ya Ukamilishaji Miradi ya Mendeleo

Imeelezwa kuwa zoezi la uandaaji Utekelezaji wa Miongozo ya Ufuatiliaji na Tathmini Serikalini Kunachangia kuongeza kasi ya Ukamilishaji wa Miradi ya Maendeleo kwa kuzingatia mchango wake katika kurahisisha shughuli za utekelezaji wa Miradi mbalimbali na kujiletea maendeleo nchini. Haya yamezunguzwa na Dkt. James Henry Kilabuko Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu …