Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imejitosa kusaidia mpango wa kitaifa unaolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma za matibabu na rufaa za mapema kwa watoto wenye magonjwa ya moyo hapa nchini.