Msichana aitwaye Esters (25) mwenye mtoto mchanga wa miezi mmoja na nusu kutoka Songwe amejikuta katika wakati ngumu baada ya kuzimiwa simu na mwenyeji wake ambaye ni baba wa mtoto baada ya kufika stendi ya Magufuli, Dar es Salaam. Ester ambaye alikuwa anauza uji ili kujikimu na maisha kabla ya kupata ujauzito, amesema alikubaliana na …