Exclusive: Rose Muhando Afunguka Mazito Baada Ya Tetesi Za Kuolewa Na Mkenya – Video

Mwimbaji nguli wa muziki wa injili, Malikia Rose Muhando, amesema kuwa wakati anaachia wimbo wake maarufu “Facebook”, hakuwa na ufahamu wowote kuhusu mtandao huo wa kijamii. Akizungumza katika mahojiano maalum na Global TV yaliyofanyika leo Januari 15, 2025, Rose ameeleza kuwa aliimba wimbo huo kwa kuongozwa na unabii, akielezea hali halisi ya maisha bila yeye […] The post Exclusive: Rose Muhando Afunguka Mazito Baada Ya Tetesi Za Kuolewa Na Mkenya – Video appeared first on Global Publishers .