Museveni aongoza matokeo ya awali, uchaguzi ukilalamikiwa

Uchaguzi mkuu wa Uganda umeendelea kuibua mjadala na malalamiko huku matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi yakionyesha Rais Yoweri Museveni anaongoza kwa kura halali zilizohesabiwa hadi sasa.